Product Information
Kitabu hichi ni kidoto kisichokua na mrengo na ni mlango wa herufi ya nuni wenye kuelezea upande mwengine kabisa wa hadithi ya Mapinduzi ya Zanzibar na historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndani ya kitabu hichi mtakuna kwa mara ya kwanza na Jemedari halisi wa Mapinduzi ya Zanzibar ambaye si Mzee Abeid Amani Karume, wala si Field Marshall John Okello, na wala si Komredi Abdulrahman Babu.Product Identifiers
PublisherLulu.com
ISBN-139780557384792
eBay Product ID (ePID)27046585229
Product Key Features
Number of Pages528 Pages
LanguageSwahili
Publication NameKwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Zanzibar Na Mapinduzi Ya Afrabia
Publication Year2010
SubjectHistory
TypeTextbook
AuthorHarith Ghassany
FormatPaperback
Dimensions
Item Height229 mm
Item Weight767 g
Additional Product Features
Country/Region of ManufactureUnited Kingdom
Title_AuthorHarith Ghassany